Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha kwa muda safari za treni ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Morogoro na Dodoma kuanzia leo Desemba 31, 2025, kufuatia uharibifu wa ...
Dodoma. Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, Desemba 29, 2025, kupitia kurasa rasmi za jeshi hilo, ajira ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Mwanza. Unajua kuwa akili yako inaweza kuimarika kwa mambo kadhaa madogomadogo unayoweza kuyafanya kila siku? Wataalam wa afya wameeleza mbinu saba za kuboresha uwezo wa akili na kufikiri. Pamoja na ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameipa jukumu Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, kusaka kiini cha ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru wanne waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya wizi wa kutumia silaha. Walioachiwa ni Adamu Seleli, ...
Arusha. Hasira hasara. Ni kauli inayoakisi kilichowakuta wakazi watatu wa Murongo, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera, baada ya mmoja wao kumtuhumu Jenester Petro kutohudhuria maziko ya mtoto wake kwa ...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Dar es Salaam. Wakati ulimwengu akiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana (IYD), kesho Agosti 12, 2025, wadau mbalimbali wameeleza ukosefu wa ajira na kipato ndiyo changamoto kubwa inayowakabili vijana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results