Juma hili katika makala ya Sanaa tunazungumza na Kulwa Kikumba maarufu kwa jina la "Dude" ambaye ni msanii maarufu wa filamu za Tanzania au Bongo Movie, tega sikio upate kufahamu mambo mbalimbali ...
Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala ...