BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Novemba 11, 2025 limefanya ziara maalum nyumbani kwa Makamu wa ...
KURA 378 kati ya kura 383 zilizopigwa zimempa ushindi Mbunge wa Ilala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, kuwa Spika wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. KURA 3 ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla amekutana na kuzungumza na Balozi Mdogo wa Kenya mkoani humo Balozi David Maina, ...
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa ...
TANGA ni miongoni mwa mikoa ya mwanzo kabisa nchini kuwa na viwanda vikubwa vya uzalishaji tangu miaka ya 1960. Miongoni mwa ...
DODOMA : WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wameapishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa ...
WADAU mbalimbali wa maendeleo kwa nyakati tofauti wanazungumzia nafasi na umuhimu wa nguvukazi ya vijana kujenga nyumba yao (taifa), badala ya kuibomoa. Katika mazungumzo na gazeti la HabariLEO kwa ny ...
DODOMA : BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Mussa Azzan Zungu kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 378 kati ya kura 383 zilizopigwa leo mjini D ...
DODOMA: Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha ...
“TUMELETA vifaa vya kisasa na vya kutosha zikiwemo mashine zaidi ya 20 za kuchimba kwenye maji na tumeongeza wataalamu kutoka ...
ARUSHA: Jiji la Arusha linajiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kwanza wa Afrika wa Akili Mnemba (Africa Premier AI Conference ...
MGOMBEA wa nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Chrisant ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results